Kwa vile Programu hii inahusiana na yasiyokuwa ya kibiashara na kwa vile inatumiwa kwa malengo ya utafiti. Jambo hili linatimiza masharti na matumizi ya Ukaguzi wa ARC
Tafsiri ya kaguzi kwenye Programu hii zime-egemezwa juu ya ufahamu ambao tafsiri hii ime-egemezwa kwa umakini juu ya toleo la lugha ya ki-Ingereza lililochapishwa na waandishi wao watarajiwa. Ubora wa tafsiri humtegemea mfasiri mwenyewe. Lakini hatahivyo, wazungumzi wa lugha asili kama njia ya kuhakikisha ubora waliifanyia tafsiri marejeo. Watafiti wenye kutumia ukaguzi uliofasiriwa na wakagundua makosa wanahimizwa kuwasiliana nasi kwenye info@asdtests.com